Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Hah hah hah hivi unajuwa kuwa kuna tofauti kubwa kati ya busha na shipa?

Ok may me nianze na kukutoa tongotongo, ishu ni kuwa huyo Nesi ktk ufungaji magoli pale Barca goli lake la kwanza kufunga alipewa pasi na huyu Nabii wa mwisho. na kama hio haitoshi Nesi anakiri ya kuwa hata kama angefumba macho siku ile basi angeweza kufunga tu, na ukikazia kuwa mpira unamjuwa Nesi na kumpenda basi unakuwa unachuma dhambi.
saint Gaucho hata ukimpigia shuti la dochi basi mwilini mwake mpira utaganda tu na utatulia.

Inaaminika pia kuwa kama mpira ungalikuwa na mdomo ungeomba kila dakika upelekwe kwa Dinho Magic ili akauchezee na kufurahi.

Kajipange tena kisha urudi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
F633C26F-E05A-4A3A-B149-786DB0E9CC7A.jpeg
 
Happy birthday Ronaldo de Assis Moreirra…
Saint Dinho Gaucho
 
The Greatest ever.
Wakati kina Mesi na wenzie wakijifunza mpira huku Duniani,Mungu alimtuma Gaucho aje awaburudishe watu huku Duniani
 
Mtume ni mtu ambaye kapakwa mafuta matakatifu ya upako kutumikia waamini wa dini ya kikristo. Nabii yule ambaye Mungu kamchagua kumuonyesha yajayo, katika magonjwa , matukio yadunia na mambo mengi nyeti ambayo kwa mtu wakawaida hajui wala haoni.

Sasa wewe kama wewe usitumie haya majina matakatifu ovyoo . Wala sikuombii ni rahisi kutamka
 
Back
Top Bottom