Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Happy bornday Maestro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni kweli kabisa, itabidi tumwombe Mungu atume mtume mwingine.Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka.
siku ukianzisha Dini basi ntakuwa muumini wako wa kwanza...
aamen
Hahahah kekuleMzee huu mchezo na ndo maana unaitwa FOOTBALL maana yake mpira wa miguu wewe kama unataka kuchezea tumbo basi anzisha mchezo stomachball, na ndomana kuna handball, au anzisha takoball kuchezea matako mchezo wako utapataashabiki tu.
Kusema eti kuchezea matako mpira hata kama mmefungwa huo sio mpira tunaita mbwembwe za ziada.
Kwamaana hiyo uko tayari kuona timu inapoteza ila Dinho acheze mbwembwe....
Sina maana Dinho hajui hapana ni moja kati ya maLegend wakubwa sana dunia hii...
Kwa wanaojua mpira watakuambia Wakina pele, maradona, na wengine wanajua mpira hakuana anaebisha nao wanajua lakin saivi ukiwahoji wao hawasemi Gaucho ni noma bila shaka sijawahi sikia moja ya malejend akihojiwa kuhusu Gaucho kama unavideo utanipa..
Ila ukiwahoji malegent wa soccer kila mmoja atakuambia hakuna aliyewahi kutokea kama Messi wataalam wanamuita A COMPLETE PLAYER wanamaana kwamba yuko fiti nyanja hizi;
Technically kwenye mpira hivi huvikwepi-
Goalscorer,
passer,
Dribbler,
playmaker,
midfielder. etc
Kama unajua mpira basi Messi hizi traits zote anazo
C. Ronaldo kuna baadhi hana hapo juu vilevile hata dinho hana kwamaana hiyo ukiacha kupokelea mpira kwa kutumia matako, kidevu sijuwi mgongo( which is not technically) Messi ndo G.O.A.T.- Greatest Of All Time
au
G.O.A.Ls - Greatest Of All Legends
Kama ilivyo kwenye ulimwengu wa sayansi no doubt Kwamba Newton is the Greatest thinker, philosopher, mathematician, physicist hence he is the top Genius in these field , along with Tesla and to all others but if you come who creatively thinks consciously no doubt Einstein
utasema oo Einstein kakuta wenzie wamemtengezea
Tuseme
Newton aseme I paved the way for calculus to Einstein
Clerk maxwell aseme I paved the way for electrodynamics to Einstein
Faraday aseme I paved the field equations to Einstein
Wapo wengi sana waliopaved way kwa Einstein sawa hoja yako kwamba aliyoa assist kwa Messi ni kama hawa tu ,
But the world knows who changed the way we think
300 yeats after Newtons no body questioned the equations of Newton until 25 yrs old Einstein laid the Debate on Newtons ideas haha..
Messi inabidi apewe kuwa icon ya FIFA kama ilivyo kwa Google ...ukigoogle neno Genius picha ya Einstein inatokea amefanya vitu vingi sana, ( kama utaviitaji )
Wale wanaosema hajabeba WC kwani anavyocheza baka WC atachezea kidevu au we kama amecheza bara bas kubali atafanya hivyohivhyo kutokana na kikosi chao maana hachezi pekeyake...
Galileo anasema The question is not who discovered it but it's who explained it simply.
Kumbuka kuna aliye gundua Benzene na aliyetoa structure ya benzene( Kekule na ndo anaye beba credit)
Kuna chenga moja alimpiga Dunga, bila kutumia slow motion huwezi amini kilichotokea.Aliwahi sana kustaafu ,uchezaji wake ni wa ajabu skills nzito nzito ,na dribbling style za kimiujiza .Kuna chenga moja anakua kama anaenda kulia lakini anaupigia mpira kushoto .[emoji1739][emoji460]
GLU [emoji769]
He 's true definition of footballKuna chenga moja alimpiga Dunga, bila kutumia slow motion huwezi amini kilichotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc BlackPantherbarca wakaanza kupata vikombe na makombe.
barca wakafanikiwa hata kupata ushindi nyumbani kwa hasimu wao Real Madrid, na moja kati ya mechi ya kukumbukwa ni ile ambayo Dinho alitupia kamba mbili na kupelekea washabiki nguli wa los blancos kuinuka kwenye viti vyao na kuanza kumpigia makofi...kitendo hiki cha kishujaa kiliwahi kumtokea pia Diego Maradona baada ya kuwashikisha adabu Madrid hapo Bernabeu.
no one else
Kumbe nawe ni shabiki. Nilidhani mfunga Viatu vya AyatollahDiego alinifanya niupende mpira,,hapajatokea mwingine kwa miaka mingi sanaa mpaka alipotokea kiumbe matata kuwai kutokea katika uso wa dunia ni "La purga" mabeki wa 4 adi 6 anawapita na kufunga,,,,gaucho akasomee kwa waajentina awa.
Leonel Andres Cuccitini na Diego Armando Maradona 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Wenye dini zenu.Acha kufananisha vijana wa vijiweni na vyeo vya heshima kama hivyo. Kama wewe huna dini usitake kugusa imani za wenzako kwa mizaha kama hii.
Lugha ziko nyingi za kuwasilisha unachokiamini ni kizuri lakini sio kwa staili hii.
Haya tumekusikia
Kakojoe ulale sasa, sawa toto!
Messi anamzidi gaucho kwa muono wangu lakini,,,messi ndo namba moja zaidi ya wote hao
Haya kachukue kopo ukachambe...Sijui ulitumia kigezo gani kumpa utume huo wa soka? Kama ni kuchezea mpira, Dinho hafiki hata robo ya Okocha.