Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #221
Happy birthday GauchoDiego alinifanya niupende mpira,,hapajatokea mwingine kwa miaka mingi sanaa mpaka alipotokea kiumbe matata kuwai kutokea katika uso wa dunia ni "La purga" mabeki wa 4 adi 6 anawapita na kufunga,,,,gaucho akasomee kwa waajentina awa.
Leonel Andres Cuccitini na Diego Armando Maradona 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Akili za wabongo bwana 😀 swali linajibiwa kwa hoja kama huna facts kaa pending...sasa wewe unaleta utoto tena!. Hvi unaamini gaucho ni bora zaidi ya Messi, Maradona, Pele, Alfredo de stefano, Puskas, Zidane na Cr7!! umetumia kigezo kipi mkuu?
Shida ni kwamba hatutoi vigezo vya kupima huo ubora, kuna wako bora kwa kufunga magoli mengi, bora kwa kucheza muda mrefu, bora kwa kuchukua makombe au awards nyingi. Shida kubwa hatuangalii kacheza akizungukwa na watu gani na personal efforts na skills za mchezaji husika. Kwa vigezo hivyo, Gaucho bado ni bora sana ukilinganisha na Medicine, Zidane au CR7,tena tukiacha vigezo vingine, kwa ball skills hawa watatu hakuna anaemfikia Okocha JJ
Sent using Jamii Forums mobile app
Medicine ndio nani kamanda?
Rekodi bila World Cup ni sawa na suti bila koti, haya kajipange kisha uje tena
WORLD CUP HATA GIROUD KABEBA! MESSI THE GREATEST PLAYER THE WORLD HAVE NEVER SEEN!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldinho hawezi kuwa bora zaidi ya lapulga
Hawajui maana ya team work hilo ndio tatizo la wabongo. Messi level ya akina Maradona na Pele. Na bado Messi kawazidi wawili hawa.
Gaucho level yake akina zidane, de lima, iniesta, okocha, requelme, henry, xavi. Katika hawa 8 Zidane is everything.
Huu uzi ni kuhusu kuzaliwa Kwan nabii wa mwisho wa soka, ukitaka anzisha uzi wako wa mambo ya akina zidane na genge lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaa100%
Sio Nabii tuu bali pia ni Mtume wa mwisho wa Soka,akiwa anacheza hata Malaika wanaacha shughuli zao kumshangalia.Halafu wanampa unabii. Hii si nikumkufuru kabisa Mungu!
Sio Nabii tuu bali pia ni Mtume wa mwisho wa Soka,akiwa anacheza hata Malaika wanaacha shughuli zao kumshangalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiongezea na timu ya Taifa nitakupa mafanikio yake kwenye hizo clubs.Naomba mafanikio yake ndani ya PSG, Barcelona, na AC MILAN kwa miaka aliotumikia. Halafu compare na fundi Lapulga kwa miaka aliotumikia FC BARCELONA
Ukiongezea na timu ya Taifa nitakupa mafanikio yake kwenye hizo clubs.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka world cup 2002 alikuwa mshika jezi tu kacheza mechi moja ya mwisho kwenye makundi brazil ikiwa tayari imefuzu baada ya hapo akarudi kwenye kazi yake ya benchiTimu ya taifa hakuwepo yeye tu, walikuwepo wengi akina rivaldo, ronaldo, roberto carlos na kaka. So ile inajumuisha timu nzima/Whole team efforts na sio personal effort ndio maana ya team work, ukilinganisha na clubs kila mchezaji huwa anaonyesha uwezo wake binafsi "individual capabilities" hata timu ikizidiwa yeye ndie huamua matokeo mjomba. Messi na Maradona hakuna wa kulinganishananao, hawa ni dhahabu, kuwapata mfano wa hawa wasumbufu itachuka maelfu ya miaka. kule napoli hawatamshau maradona, sema tu kwakuwa ni weupe mtaleta kila aina ya figisu mara oh kombe la dunia messi hana, mara sijui nini! Visababu vya kijingajinga visivyokuwa na maana yoyote.
But ukweli mnaujua. Sasa kama ndio kigezo kombe la dunia, basi hawa pia ni bora more than Messi[emoji1542]Iniesta, xavi, torres, ramos, bosquets, alba, mbappe, kante, dembele, griezman, varane na giroud, Muller, gotze, boateng n.k Sindio!!!!
Haya Naomba takwimu zake katika hizo timu alizopitia huyo gauchoi wako ambae hata kwa zidane hafui dafu, na mimi nitaweka mpaka Ballon d'ore na all records in general za Messi ambazo hakuna binadamu aliezifikia. Weka hapa[emoji1541]