Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Happy birthday Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Saint Gaucho

Diego alinifanya niupende mpira,,hapajatokea mwingine kwa miaka mingi sanaa mpaka alipotokea kiumbe matata kuwai kutokea katika uso wa dunia ni "La purga" mabeki wa 4 adi 6 anawapita na kufunga,,,,gaucho akasomee kwa waajentina awa.

Leonel Andres Cuccitini na Diego Armando Maradona 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Happy birthday Gaucho
 
Shida ni kwamba hatutoi vigezo vya kupima huo ubora, kuna wako bora kwa kufunga magoli mengi, bora kwa kucheza muda mrefu, bora kwa kuchukua makombe au awards nyingi. Shida kubwa hatuangalii kacheza akizungukwa na watu gani na personal efforts na skills za mchezaji husika. Kwa vigezo hivyo, Gaucho bado ni bora sana ukilinganisha na Mesi, Zidane au CR7,tena tukiacha vigezo vingine, kwa ball skills hawa watatu hakuna anaemfikia Okocha JJ
Akili za wabongo bwana 😀 swali linajibiwa kwa hoja kama huna facts kaa pending...sasa wewe unaleta utoto tena!. Hvi unaamini gaucho ni bora zaidi ya Messi, Maradona, Pele, Alfredo de stefano, Puskas, Zidane na Cr7!! umetumia kigezo kipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kwamba hatutoi vigezo vya kupima huo ubora, kuna wako bora kwa kufunga magoli mengi, bora kwa kucheza muda mrefu, bora kwa kuchukua makombe au awards nyingi. Shida kubwa hatuangalii kacheza akizungukwa na watu gani na personal efforts na skills za mchezaji husika. Kwa vigezo hivyo, Gaucho bado ni bora sana ukilinganisha na Medicine, Zidane au CR7,tena tukiacha vigezo vingine, kwa ball skills hawa watatu hakuna anaemfikia Okocha JJ

Sent using Jamii Forums mobile app

Medicine ndio nani kamanda?
 
WORLD CUP HATA GIROUD KABEBA! MESSI THE GREATEST PLAYER THE WORLD HAVE NEVER SEEN!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawajui maana ya team work hilo ndio tatizo la wabongo. Messi level ya akina Maradona na Pele. Na bado Messi kawazidi wawili hawa.

Gaucho level yake akina zidane, de lima, iniesta, okocha, requelme, henry, xavi. Katika hawa 8 Zidane is everything.
 
Huu uzi ni kuhusu kuzaliwa Kwan nabii wa mwisho wa soka, ukitaka anzisha uzi wako wa mambo ya akina zidane na genge lake.

Umepata wapi ujasiri wa kumpa unabii? Nyie ndio mnakufuru kabisa, au naongea na mtu asieamini uwepo wa Mungu, na Manabii wa Mwenyezi Mungu.

Kama gaucho unampachika unabii, je Maradona na Messi tuwaiteje 😎coz these guys wanaitwa Mungu wa mpira, binafsi siwezi na sitaweza kumpa binadamu jina la Mungu au unabii.
 
Wazee wa vibanda umiza na kuchambua mpira wapi na wapi 😂😂 nyie nendeni mkalime ndio kazi yenu, ya mpira tuachieni sisi
 
Ukiongezea na timu ya Taifa nitakupa mafanikio yake kwenye hizo clubs.

Sent using Jamii Forums mobile app

Timu ya taifa hakuwepo yeye tu, walikuwepo wengi akina rivaldo, ronaldo, roberto carlos na kaka. So ile inajumuisha timu nzima/Whole team efforts na sio personal effort ndio maana ya team work, ukilinganisha na clubs kila mchezaji huwa anaonyesha uwezo wake binafsi "individual capabilities" hata timu ikizidiwa yeye ndie huamua matokeo mjomba. Messi na Maradona hakuna wa kulinganishananao, hawa ni dhahabu, kuwapata mfano wa hawa wasumbufu itachuka maelfu ya miaka. kule napoli hawatamshau maradona, sema tu kwakuwa ni weupe mtaleta kila aina ya figisu mara oh kombe la dunia messi hana, mara sijui nini! Visababu vya kijingajinga visivyokuwa na maana yoyote.

But ukweli mnaujua. Sasa kama ndio kigezo kombe la dunia, basi hawa pia ni bora more than Messi👉🏿Iniesta, xavi, torres, ramos, bosquets, alba, mbappe, kante, dembele, griezman, varane na giroud, Muller, gotze, boateng n.k Sindio!!!!

Haya Naomba takwimu zake katika hizo timu alizopitia huyo gauchoi wako ambae hata kwa zidane hafui dafu, na mimi nitaweka mpaka Ballon d'ore na all records in general za Messi ambazo hakuna binadamu aliezifikia. Weka hapa
👇🏿
 
Timu ya taifa hakuwepo yeye tu, walikuwepo wengi akina rivaldo, ronaldo, roberto carlos na kaka. So ile inajumuisha timu nzima/Whole team efforts na sio personal effort ndio maana ya team work, ukilinganisha na clubs kila mchezaji huwa anaonyesha uwezo wake binafsi "individual capabilities" hata timu ikizidiwa yeye ndie huamua matokeo mjomba. Messi na Maradona hakuna wa kulinganishananao, hawa ni dhahabu, kuwapata mfano wa hawa wasumbufu itachuka maelfu ya miaka. kule napoli hawatamshau maradona, sema tu kwakuwa ni weupe mtaleta kila aina ya figisu mara oh kombe la dunia messi hana, mara sijui nini! Visababu vya kijingajinga visivyokuwa na maana yoyote.

But ukweli mnaujua. Sasa kama ndio kigezo kombe la dunia, basi hawa pia ni bora more than Messi[emoji1542]Iniesta, xavi, torres, ramos, bosquets, alba, mbappe, kante, dembele, griezman, varane na giroud, Muller, gotze, boateng n.k Sindio!!!!

Haya Naomba takwimu zake katika hizo timu alizopitia huyo gauchoi wako ambae hata kwa zidane hafui dafu, na mimi nitaweka mpaka Ballon d'ore na all records in general za Messi ambazo hakuna binadamu aliezifikia. Weka hapa
[emoji1541]
kaka world cup 2002 alikuwa mshika jezi tu kacheza mechi moja ya mwisho kwenye makundi brazil ikiwa tayari imefuzu baada ya hapo akarudi kwenye kazi yake ya benchi
 
Back
Top Bottom