asante kushukuru mdogo wangu hahha daveti anajua makosa yake kaamua kukimbia kabisaAhsante sana Dada yangu kipenzi wa nguvu, Allah atujalie sote maisha marefu yenye amani, upendo, na baraka tele.
Sasa ndio muda wa kukata keki imeanza kuwaidia, wapi Davet ajae apange viti hapa ukimbini.
Nina imani hamtoniangusha kwenye hii siku adhimu ya kukuza ukiben 10 wangu[emoji2] [emoji2] [emoji2]nipp dada maandaliz bas ili wana jf wajongee tupate nao chochote baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijakupa vizuri mkuu japo nimecheka hivyo hivyo!!
Hahahahahaaaaaa.Aiseee Mkuu umetimiza karne ngap Mkuu ?!
Bila shaka taarifa imewafikiwa wote kwa pamojaMaandalizi yapo mdogo wangu ni wao tu macho na masikio kuyaelekeza ndani ya huu uzi.
Muda ukifika tutawaalika wote kwa pamoja.
hahhah usjal mdogo wanguNina imani hamtoniangusha kwenye hii siku adhimu ya kukuza ukiben 10 wangu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahahaaaaa.haya dad tunakusubiria na mdog wako anavyosumbua hapa anatak tukafanye maandaliz mapema sijui tunataka kutambulishwa wifi yetu rasmi maan simuelewi sio kwa kero hiz mwambie dad hajar aje harak hahahah
Ahsante sana mkuuHappy Birthday broda Mwifa,
Stay healthy.
yaan kila kitu kipo poa mdogo wangu ngoj nimwambie dada hajar
haha uwape kadi kabisaa maaan patakuwa hapatoshi leo
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Hahaaa. Mwambie naja tuyapange.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahahaaaaammmh fanya harak maan sina raha hap naambiwa tu anataka atusuprise leo sijui kuna nin dada leo
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
hhah sitaki wifi kwa kipind hiki mdog wangu tuangalie maisha kwanzaHahahahahaaaaa.
Msijali Dada znagu wifi bado hajazaliwa maana mimi mwenyewe ndio nimezaliwa leo