Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Teh teh teh,..nathubiri yako ww nikufumbe mdomoo[emoji13][emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Mwifwa; hii siku ni muhimu sana kwako...hongera kwa kuiona...MwenyeziMungu akujaalie umri mrefu zaidi ya huu ulioutumikia ili uweze kuyasimamia yale uliyoyaanza na yale yaliyo kwenye ndoto zako brother.
 
Back
Top Bottom