Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

haya dad tunakusubiria na mdog wako anavyosumbua hapa anatak tukafanye maandaliz mapema sijui tunataka kutambulishwa wifi yetu rasmi maan simuelewi sio kwa kero hiz mwambie dad hajar aje harak hahahah
Hahahahahaaaaa.

Msijali Dada znagu wifi bado hajazaliwa maana mimi mwenyewe ndio nimezaliwa leo
 
Back
Top Bottom