Dahhh.......Bahati ya mwenzio huwezi kuilalia mlango wazi.
Kila mmoja ana bahati yake ambazo zinatofautiana
Ahsante sana ndugu yangu, atutangulie sote kwa kila jambo la kheri na la shari siku zote.Huyu ndugu kumbe kazaliwa leo?
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa ndugu, Mungu akutangulie kwa kila jambo unalopanga [emoji512][emoji512]
Ameteleza kama wewe ulivyoteleza juzi kwenye ule uziAiseee hapa nimetengwa
Shukrani sana mkuuHappy b/day
Ooohhh, kweli nilisahau Dada yangu, niwie radhihujatengwa twaona umejitenga vikao nyumban hatukuoni na salam zako nilimpa mwifwa akupe labd alijisahau
Acha tuone màna siku nayo inaishaHa ha ha,nadhani ukhuty,davet na hajar hawawezi kutuangusha.
Nilisahau bana Davet si unajua tena mambo ni mengiMbona kila siku lazima nikutane nae? Labda tu kaamua kunikunjia
Shukrani sana mkuuHappy death day mwifwa..... [emoji23] [emoji14] [emoji4]
Amiin rabil alamiin. Ahsante sana wacha na mie niamini hivyo.Umestahili...ukiona yanasemwa, ujue kuna ukweli.Mshukuru Allah...!
Shukrani sana mkuuHBD[emoji512]
For sure...!Bahati ya mwenzio huwezi kuilalia mlango wazi.
Kila mmoja ana bahati yake ambazo zinatofautiana
Amiin rabil alamiin. Ahsante sana wacha na mie niamini hivyo.
Amein...!Amiin rabil alamiin. Ahsante sana wacha na mie niamini hivyo.
Shukrani sana mkuuHPY BDAY MAN!
Shukrani sana kwa Dua yako mkuu.Ukisherekea siku ya kuzaliwa ujaue
uliko toka ni mbali
Unako enda hujui
Fanya sana ibada
Wajali wahitaji
Mungu akuongezee miaka zaidi ila uendelee kutimiza Yale anayo kuagiza uyatimize
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa
Shukrani sana mkuu.Watu na nyota zao haki tena, wengine hata marafiki hatupati aisee....
Heri ya kuzaliwa bro Mwifwa, endelea kuinjoy maisha wakati una nguvu
Ahsante sana Neybright.Happy birthday Mwifwa, Mungu akujaalie umri mrefu rafiki ukapate kumjua na kumtukuza yeye tuu akakuongezee hekima na maarifa tele kwa kila siku iitwayo leo.
Hiki kidogo chetu kipokee kwa mikono miwili ukapate kufurahi na familia yako.
View attachment 734057
Ahsante sana DJ.Happy birthday bro!
May blow more candles