Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Bahati ya mwenzio huwezi kuilalia mlango wazi.

Kila mmoja ana bahati yake ambazo zinatofautiana
Dahhh.......
Sikutarajia kama nawewe ariff unaweza niharibia kwa huyu mbuzi ninae muona anaelekea kibla karibu na kumpika supu.... tehteehhh
 
Huyu ndugu kumbe kazaliwa leo?

Kheri ya siku yako ya kuzaliwa ndugu, Mungu akutangulie kwa kila jambo unalopanga [emoji512][emoji512]
Ahsante sana ndugu yangu, atutangulie sote kwa kila jambo la kheri na la shari siku zote.

Vipi maandaliza ya kukata keki na kugongeana glasi yanaendeaje hapo..??
 
Happy birthday Mwifwa, Mungu akujaalie umri mrefu rafiki ukapate kumjua na kumtukuza yeye tuu akakuongezee hekima na maarifa tele kwa kila siku iitwayo leo.

Hiki kidogo chetu kipokee kwa mikono miwili ukapate kufurahi na familia yako.
View attachment 734057
Ahsante sana Neybright.

Mungu atuongoze sote katika njia ya haki na yenye manufaa mbele yake hapa Duniani na huko baadae turejeapo kwake
 
Back
Top Bottom