carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Wooooiiii[emoji134][emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23] Rafiki, nimeamini kumbe wewe ni fungu la kukosa kama mimi tu....huyu 'basidei boi' ana my wake hapa. Hiyo rada yako bora uizime tu[emoji12]
Ahsante sana mpendwa Heaven SentHappy birthday mpendwa
Shukrani sana mkuuHappy Born Day kijana
Pamoja mkuuShukrani sana kwa Dua yako mkuu.
Ahsante sana Shunie mdau wangu wa mapupu.Happy birthday to u Mwifwa Yesu akulinde
Ndio mama yangu.Kumbe Bd yako kajukuu/mwanangu? nimeona sasa hivi. Happy BD.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana amigo! Ina maana hata mimi huniamini? Nikaribishe tu mimi ni mhenga mwenzio ujue, siwezi kufanya huo utotoPM saivi sitaki mtu akuje comrade, maana kina binti mmoja ametaka kuniangushia ban isio ya lazima kwa kuyaanika ya kule hapa, tena mubashara kabisa..... tehteehhh
Thad kanambia kuna mtu humu ndo anakubebisha,moyo umevunjika vipande[emoji17][emoji17]Nipo hapa nimejaa tele ushindwe mwenyewe
Tuishi miaka mingi sote kwa mapenzi yake Muumba wetuUishi miaka mingi Mwifwa wee
Ukiona rafiki yako hakushirikishi kwenye mambo ya muhimu jiulize sana?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Cc Jr
Ahsante sana popoz na bundiz mwenzangu.sitaki kuwa wa mwisho kabisaaaa
Happy born day mkuu Mwifwa. Mungu akupe miaka mingi ya amani na furaha.
cheers
Hapana mkuu, nipo kabisa ila nilikuwa busy toka asubuhi ndio maana sikuwa onlineMkuu mwifwa umetekwa mbona kimya mkuu
AmeeenAhsante sana Neybright.
Mungu atuongoze sote katika njia ya haki na yenye manufaa mbele yake hapa Duniani na huko baadae turejeapo kwake
Mkuu kwanzia next week najiteka !!Hapana mkuu, nipo kabisa ila nilikuwa busy toka asubuhi ndio maana sikuwa online
[emoji6]Thad kanambia kuna mtu humu ndo anakubebisha,moyo umevunjika vipande[emoji17][emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu sasa ni uchonganishi..... Yaani kukutania tu ndio umekuja mbiombio kunisemea kwa babi boi wetu?