Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Shukrani saa mkuu RIZIKIHappy birthday to you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani saa mkuu RIZIKIHappy birthday to you
Ohooo tena, nilimteka nani huyo?Jirani mtekaji,mambo
Ha ha ha huyo tena ndio nshaukosa
Utamuweza huyo, ni mjanja sanaasante kushukuru mdogo wangu hahha daveti anajua makosa yake kaamua kukimbia kabisa
Ahsante sana mkuu.Ha ha ha ha ha ha.... Mkuu MWIFWA... HBD brother... Long Live Brother...!
Shukrani sana mkuu.HBD tena na tena mkuu Mwifwa...!
Ahsante sana mkuu.Happy Birthday Mkuu.
Mkuu nipo tuu labda skukuu hizi lakini nipo sana humu. Hongera sana mkuuAhsante sana mkuu.
Long time sana mkuu umejiteka wapi?
Sawa wala sijali kabisahahhah usjal mdogo wangu
Mumhakikishe wageni wote wanapata sehemu ya kukaa kabala ya tukio kuruka hewaniyaan kila kitu kipo poa mdogo wangu ngoj nimwambie dada hajar
Hahahahaaaa.hhah sitaki wifi kwa kipind hiki mdog wangu tuangalie maisha kwanza
Ulivyonitenda wewe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji102]
Shukrani sana mkuu.
Nambie tu[emoji23][emoji23]Nishakuona huna kifua kumbe, siku nyingine sitakwambia niyajuayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa ndio Yale ya kukuta manyoya
Naachaje na mimi ndo mwenyekiti?Ohooo tena, nilimteka nani huyo?
Mbona unataka kumwagia kitumbua changu mchanga?
Hivi kumbe bado hujaacha roho mbaya tuu [emoji41][emoji41]
HahahahaaaaaHahahaaa. Lol.
Karibu sana mdogo wangu. Ila sio kwa kunipa mijisifa hiyo lol.