Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Mkuu Mwifwa; hii siku ni muhimu sana kwako...hongera kwa kuiona...MwenyeziMungu akujaalie umri mrefu zaidi ya huu ulioutumikia ili uweze kuyasimamia yale uliyoyaanza na yale yaliyo kwenye ndoto zako brother.
Ahsante sana mkuu.

Na wewe pia Mungu akujalie afya njema, maisha marefu, amani, upendo na uvumilivu ili uweze kutimiza ndogo zako katika maisha ya hapa Dunia.
 
Back
Top Bottom