carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moyo wauma ujue?Huu sasa ni uchonganishi..... Yaani kukutania tu ndio umekuja mbiombio kunisemea kwa babi boi wetu?
Jirani mtekaji,mambo[emoji6]
[emoji102]Nakusabahi swahiba yangu! Kichwa Kichafu na jje's hawajambo? [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji102]Sijambo swahiba
Kichwa Kichafu alinitelekeza pasaka sijamwona ila itakuwa kajiteka kwa jje's
Besidei boi akija mwambie bado yuko kwenye rada yangu[emoji12][emoji12]
Hahahahahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] Rafiki, nimeamini kumbe wewe ni fungu la kukosa kama mimi tu....huyu 'basidei boi' ana my wake hapa. Hiyo rada yako bora uizime tu[emoji12]
Shukrani sana mkuuHbd Mwifwa, live longer mkaka
Mwakani mwezi wa piliHivi ya kwako itakuwa lini vile?
Ahsante saa mkuu Malcom LumumbaHappy Birthday mkuu.!
Ahsante saa mkuu.Hongera ya kuzaliwa, tunataka keki