Ahsante sana mkuu.Mkuu Mwifwa; hii siku ni muhimu sana kwako...hongera kwa kuiona...MwenyeziMungu akujaalie umri mrefu zaidi ya huu ulioutumikia ili uweze kuyasimamia yale uliyoyaanza na yale yaliyo kwenye ndoto zako brother.
Ahahahaaaaaa kweli kabisa usiache tuuNaachaje na mimi ndo mwenyekiti?
Uhali gani lakini?
Hahahahahaaaa.Dahhh.......
Sikutarajia kama nawewe ariff unaweza niharibia kwa huyu mbuzi ninae muona anaelekea kibla karibu na kumpika supu.... tehteehhh
Happy birthdayShukrani sana mkuu.
Upendo daima!!
Nipo maa,sijakuona mitaa yetu ya mapopozAhahahaaaaaa kweli kabisa usiache tuu
I miss you dear
Hapo sawa kabisa ndiko mahala pakeShukrani sana Mkuu. Nitamtafuta huyu kwenye namba yake.
Pamoja mkuu....Ahsante sana mkuu
Amiin.Happy birthday bro! Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri na baraka kwako, akujaalie fikra, yakinifu ya kuweza kupambanua mabaya na mema, akujaalie kizazi chema na yote yaliyo mema kwako na akuepushe na yote yenye shari nawe[emoji119]
Asikutishe hata kidogo hapa mlango uko wazi kabisaThad kanambia kuna mtu humu ndo anakubebisha,moyo umevunjika vipande[emoji17][emoji17]
Ewaaaa haya ndo manenoAsikutishe hata kidogo hapa mlango uko wazi kabisa
Nimekuelewa usijali mke ake Jr wa miondoko ya tunguliUkiona rafiki yako hakushirikishi kwenye mambo ya muhimu jiulize sana?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kwa kulinda usalama wako inatakiwa tusikupe dhamana maana watekaji bado wapo mtaaniMkuu kwanzia next week najiteka !!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]moyo wauma ujue?
Yaa i mimi najipanga huko kumbe kuna mtu anabebisha humu[emoji23][emoji23]
Yanakuja hivi punde, kaeni mkao wa kulaKwetu uswazi hatunaga haya mambo,
Naam mkuu KK.Hongera kwa kuendelea kukaribia uzee
Hahahahahaaaaa.Mwifwa ingekua shule ungeoga kwel wewe pale ambapo happy birth day inageuzwa happy bath day
Shukrani sana mkuuHBD mzee baba
Ahsante sana mkuu
Nilipotea kidogo ila nitajitahidi nirudi kama awaliNipo maa,sijakuona mitaa yetu ya mapopoz