nimekusamehe mdogo wanguOoohhh, kweli nilisahau Dada yangu, niwie radhi
haha tunasubiri mshuko wa insha shughul ndo ianze karibuni sanaHa ha ha,nadhani ukhuty,davet na hajar hawawezi kutuangusha.
comrade babu polePM saivi sitaki mtu akuje comrade, maana kina binti mmoja ametaka kuniangushia ban isio ya lazima kwa kuyaanika ya kule hapa, tena mubashara kabisa..... tehteehhh
hahha nimecheka davet una mashtaka homeAmeteleza kama wewe ulivyoteleza juzi kwenye ule uzi
Nipo mwingi sana ...nmesubir mualiko ila Mwifwa kapiga kimya duuhUpo?
hivi tulikupa kadi kweli karibu sana kaka la makakaAcha tuone màna siku nayo inaisha
basi una kesi ya kujibu nyumbanMbona kila siku lazima nikutane nae? Labda tu kaamua kunikunjia
Oooh! Hongera sana kumbe tunashare mwezi eeh!Mungu ni mwema.
Nimefunga ukurasa naanza mwingine tena.
Usijali majukumu yapo tu na jukwaa lipo tu, kila kitu lazima tukipe haki yake.
Mimi pia nimechelewa humu maana nilikuwa busy kutwa nzima
Ahsante sana mkuu.Happy Birth Day mwana Nsumba. Mungu akujaalie maisha yenye baraka.
Ahsantenimekusamehe mdogo wangu
Tahadhari!! Baby baby za leo zisije kukupagawisha ukadhani ni mahaba, ukakung'uta mfuko, leo wewe ni mtotoYanakuja hivi punde, kaeni mkao wa kula
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahha nimecheka davet una mashtaka home
Kumbeee.Oooh! Hongera sana kumbe tunashare mwezi eeh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tahadhari!! Baby baby za leo zisije kukupagawisha ukadhani ni mahaba, ukakung'uta mfuko, leo wewe ni mtoto
Pamoja sana mkuu, zimefika
Tumpe muda! Msemaji wake ni ThadNipo mwingi sana ...nmesubir mualiko ila Mwifwa kapiga kimya duuh
Hakika! Nikutakie usiku mwema mtoto wa leoKumbeee.
Ni nzuri sana hii
Na kwako pia rafikiHakika! Nikutakie usiku mwema mtoto wa leo
miss u wew mtuHappy birthday bro! Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri na baraka kwako, akujaalie fikra, yakinifu ya kuweza kupambanua mabaya na mema, akujaalie kizazi chema na yote yaliyo mema kwako na akuepushe na yote yenye shari nawe[emoji119]