Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Mungu ni mwema.

Nimefunga ukurasa naanza mwingine tena.

Usijali majukumu yapo tu na jukwaa lipo tu, kila kitu lazima tukipe haki yake.

Mimi pia nimechelewa humu maana nilikuwa busy kutwa nzima
Oooh! Hongera sana kumbe tunashare mwezi eeh!
 
Tahadhari!! Baby baby za leo zisije kukupagawisha ukadhani ni mahaba, ukakung'uta mfuko, leo wewe ni mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom