Umeona eeehh, tumekaba kila konahapana chezea kamati ya ufundi
Shukrani sana mkuuhappybirtday to you!
HahahAtakuja tu wala usipate shaka
Shukrani sana mkuuNakutakia kila la kheri mkuu.
kabisa yaan tunapenda kuwashukur wan jf wote waliojumuika pamoj nas katk siku yetu hii muhimu mbarikiwe san[emoji120] [emoji120] [emoji120]Umeona eeehh, tumekaba kila kona
Ewaaaa.kabisa yaan tunapenda kuwashukur wan jf wote waliojumuika pamoj nas katk siku yetu hii muhimu mbarikiwe san[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Aamin mdogo wangu tuko bega kwa begaEwaaaa.
Ahsante sana kwa shukrani nzuri sana dada yangu. Amaa kweli siku ya leo ilikuwa nzuri na ya kiana yake iliyojaa furaha, upendo, amani miongoni mwetu na kwa wana JF wote waliotia jicho humu.
Mungu awabariki wote!!
Ahsante sana mkuuHappy birthday
Shukrani sana mkuuHBD Buddy...
Hakika inapendeza,kwa niaba ya wadau tulioshiriki kumtakia Mwifwa heri ya kuzaliwa nazipokea kwa mikono yote miwili shukrani zenu,tena nikiwa na furaha kubwa iliyosababishwa na Liverpool kuwafunga Man city tatu bila.kabisa yaan tunapenda kuwashukur wan jf wote waliojumuika pamoj nas katk siku yetu hii muhimu mbarikiwe san[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Umezaliwa tarehe na mwezi sawa na mwanangu Jaden,hongereni sana.Shukrani sana mkuu
Ahsante sana mkuu.Umezaliwa tarehe na mwezi sawa na mwanangu Jaden,hongereni sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] babuuuDaby si ndo yule dogo aliyejiteka? Ulikuwa hujui?
Yap yap na kameshalala kitambo tu.Ahsante sana mkuu.
Bila shaka ushamkatia keki huko alipo
Kumbe,haya hongereni sana wapendwa.happy born day my precious,mwanaume wa maisha ya gu,furaha yangu,unayenifanya niwe na tabasamu wakati wote,nakupenda mwifwa wangu na najua wako ambao hawataamini hili ila wewe ni kila kitu kwangu,mwenyezi mungu atujalie uzima tuweze kufanikisha malengo,akuepushe na mabaya yote ya dunia na husda za walimwengu!NITAKUPENDA LEO NA HATA MILELE