Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

happy born day my precious,mwanaume wa maisha ya gu,furaha yangu,unayenifanya niwe na tabasamu wakati wote,nakupenda mwifwa wangu na najua wako ambao hawataamini hili ila wewe ni kila kitu kwangu,mwenyezi mungu atujalie uzima tuweze kufanikisha malengo,akuepushe na mabaya yote ya dunia na husda za walimwengu!NITAKUPENDA LEO NA HATA MILELE
Ewaaaahhh.

Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.

Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
 
Happy birthday kijana.. Kila la kheri katika maisha yako, mungu akuongoze, ndoto zako zitimie na malengo yako uyafikie.
 
Ewaaaahhh.

Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.

Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
Amen my love,ahsante kwa kuwa wangu na furaha yangu pia,thamani yako kwangu inazidi vyote,tuzidi kumuomba mungu atuepushe na mabaya,atujalie uvumilie kwa kila hali,mapenzi yetu basi yatenganishwe na kifo tu!nakupenda mwifwa
 
Amiin

Nakupenda sana pia moneytalk[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Happy birthday my dear friend, may the bright colours paint your life and you be happy forever. Stay blessed.
Ahsante sana rafiki.

Rafiki umetutupa sana mkono hili jukwaa mbali na kukuona kwa tochi sehemu zingine, rudi bas rafiki na ule uzi wetu pendwa
 
Usijali nitarudi soon. [emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom