Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama Dada Mkubwa wa Familia ya kina Mwifwa kuwashukuru wale wote wana Familia ya Jf mliojumuika nasi katika kumtakia kila la kheri mdogo wetu mpendwa Mwifwa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Upendo na Mioyo hiyo hiyo mliyotuonyesha kwa siku ya jana.

Mie nilikuwa busy na mambo ya maandalizi ndio sababu sikuwa natia neno humu. Muwe na kila la kheri na kwa wale mliochelewa bado mnakaribishwa sio mbaya mkaendelea kumtakia maisha marefu kijana wetu mpendwa na aliye kipenzi watu.

Wana Familia wote kwa pamoja ukhuty, Davet na mimi Hajar tunawashukuru Mnoo na tunawapenda zaidi ya sanaaaaa. Mbarikiwe wote. INSHA ALLAH.

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
kabisa yaan tunapenda kuwashukur wan jf wote waliojumuika pamoj nas katk siku yetu hii muhimu mbarikiwe san[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ewaaaa.

Ahsante sana kwa shukrani nzuri sana dada yangu. Amaa kweli siku ya leo ilikuwa nzuri na ya kiana yake iliyojaa furaha, upendo, amani miongoni mwetu na kwa wana JF wote waliotia jicho humu.

Mungu awabariki wote!!
Yaani tunawashukuru mnoo. Mie pia nawashukuru sababu wakati niko busy na wageni nyie hamkuwa nyuma na Wana familia ya jf.

Mbarikiwe sana wadogo wangu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hakika inapendeza,kwa niaba ya wadau tulioshiriki kumtakia Mwifwa heri ya kuzaliwa nazipokea kwa mikono yote miwili shukrani zenu,tena nikiwa na furaha kubwa iliyosababishwa na Liverpool kuwafunga Man city tatu bila.
Karibu sana Swahiba Mapipando nimefurahi uwepo wako.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama Dada Mkubwa wa Familia ya kina Mwifwa kuwashukuru wale wote wana Familia ya Jf mliojumuika nasi katika kumtakia kila la kheri mdogo wetu mpendwa Mwifwa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Upendo na Mioyo hiyo hiyo mliyotuonyesha kwa siku ya jana.

Mie nilikuwa busy na mambo ya maandalizi ndio sababu sikuwa natia neno humu. Muwe na kila la kheri na kwa wale mliochelewa bado mnakaribishwa sio mbaya mkaendelea kumtakia maisha marefu kijana wetu mpendwa na aliye kipenzi watu.

Wana Familia wote kwa pamoja ukhuty, Davet na mimi Hajar tunawashukuru Mnoo na tunawapenda zaidi ya sanaaaaa. Mbarikiwe wote. INSHA ALLAH.

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Maandalizi ya kumpokea wifi yenu Moneytalk?
 
Ahsante sana Dada zangu Hajar, ukhuty na Kaka yangu Davet. Kwa hakika mlijipanga mkapangika kuhakikisha hili jambo linafanikiwa Mungu awalipe kila la kheri.

Pia shukrani za dhati na kipekee zimwendee rafiki yangu kipenzi Thad kwa kuasisi na kuwa msemaji wa siku ya jana. Mungu ambariki sana.
 
Yaani tunawashukuru mnoo. Mie pia nawashukuru sababu wakati niko busy na wageni nyie hamkuwa nyuma na Wana familia ya jf.

Mbarikiwe sana wadogo wangu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Amiin[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom