moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukrani mkuuKumbe,haya hongereni sana wapendwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukrani mkuuKumbe,haya hongereni sana wapendwa.
Ewaaaahhh.happy born day my precious,mwanaume wa maisha ya gu,furaha yangu,unayenifanya niwe na tabasamu wakati wote,nakupenda mwifwa wangu na najua wako ambao hawataamini hili ila wewe ni kila kitu kwangu,mwenyezi mungu atujalie uzima tuweze kufanikisha malengo,akuepushe na mabaya yote ya dunia na husda za walimwengu!NITAKUPENDA LEO NA HATA MILELE
Ahsante sana mkuu.Happy birthday kijana.. Kila la kheri katika maisha yako, mungu akuongoze, ndoto zako zitimie na malengo yako uyafikie.
Amen my love,ahsante kwa kuwa wangu na furaha yangu pia,thamani yako kwangu inazidi vyote,tuzidi kumuomba mungu atuepushe na mabaya,atujalie uvumilie kwa kila hali,mapenzi yetu basi yatenganishwe na kifo tu!nakupenda mwifwaEwaaaahhh.
Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.
Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
Pamoja chief!Ahsante sana mkuu.
Atuongoze sote!!
AmiinAmen my love,ahsante kwa kuwa wangu na furaha yangu pia,thamani yako kwangu inazidi vyote,tuzidi kumuomba mungu atuepushe na mabaya,atujalie uvumilie kwa kila hali,mapenzi yetu basi yatenganishwe na kifo tu!nakupenda mwifwa
Ahsante sana mkuu NyageiHappy birthday brother
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]twende kule kipenzi changu,nina kitu spesho kwa ajili yakoAmiin
Nakupenda sana pia moneytalk[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ahsante sana rafiki.Happy birthday my dear friend, may the bright colours paint your life and you be happy forever. Stay blessed.
Usijali nitarudi soon. [emoji4][emoji4]Ahsante sana rafiki.
Rafiki umetutupa sana mkono hili jukwaa mbali na kukuona kwa tochi sehemu zingine, rudi bas rafiki na ule uzi wetu pendwa
Sawa kipenzi twende, tuwahi kabisa babe[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]twende kule kipenzi changu,nina kitu spesho kwa ajili yako
Ahsante sana UlwesoHappy birthday mtoto Mwifwa
yes honey,ni muda wetu sasaSawa kipenzi twende, tuwahi kabisa babe[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ahsante sana popoz mwenzangu.