Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

kabisa yaan tunapenda kuwashukur wan jf wote waliojumuika pamoj nas katk siku yetu hii muhimu mbarikiwe san[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ewaaaa.

Ahsante sana kwa shukrani nzuri sana dada yangu. Amaa kweli siku ya leo ilikuwa nzuri na ya kiana yake iliyojaa furaha, upendo, amani miongoni mwetu na kwa wana JF wote waliotia jicho humu.

Mungu awabariki wote!!
 
kabisa yaan tunapenda kuwashukur wan jf wote waliojumuika pamoj nas katk siku yetu hii muhimu mbarikiwe san[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hakika inapendeza,kwa niaba ya wadau tulioshiriki kumtakia Mwifwa heri ya kuzaliwa nazipokea kwa mikono yote miwili shukrani zenu,tena nikiwa na furaha kubwa iliyosababishwa na Liverpool kuwafunga Man city tatu bila.
 
happy born day my precious,mwanaume wa maisha ya gu,furaha yangu,unayenifanya niwe na tabasamu wakati wote,nakupenda mwifwa wangu na najua wako ambao hawataamini hili ila wewe ni kila kitu kwangu,mwenyezi mungu atujalie uzima tuweze kufanikisha malengo,akuepushe na mabaya yote ya dunia na husda za walimwengu!NITAKUPENDA LEO NA HATA MILELE
 
Kumbe,haya hongereni sana wapendwa.
 
Back
Top Bottom