Hahaaaa. Lol.comrade babu pole
Usijali mdogo wangu kama mie nitakufaaa. Karibu sana.Rafiki anayekumbuka siku yako ya kuzaliwa, is a friend to keep kwakweli
Wewe unanifaa sana na dada yangu Emmyta sijui kapotelea wapi cku hz
kabisa yaan tunapenda kuwashukur wan jf wote waliojumuika pamoj nas katk siku yetu hii muhimu mbarikiwe san[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Yaani tunawashukuru mnoo. Mie pia nawashukuru sababu wakati niko busy na wageni nyie hamkuwa nyuma na Wana familia ya jf.Ewaaaa.
Ahsante sana kwa shukrani nzuri sana dada yangu. Amaa kweli siku ya leo ilikuwa nzuri na ya kiana yake iliyojaa furaha, upendo, amani miongoni mwetu na kwa wana JF wote waliotia jicho humu.
Mungu awabariki wote!!
Karibu sana Swahiba Mapipando nimefurahi uwepo wako.Hakika inapendeza,kwa niaba ya wadau tulioshiriki kumtakia Mwifwa heri ya kuzaliwa nazipokea kwa mikono yote miwili shukrani zenu,tena nikiwa na furaha kubwa iliyosababishwa na Liverpool kuwafunga Man city tatu bila.
Nashukuru sana sana sana mpendwa wangu.Karibu sana Swahiba Mapipando nimefurahi uwepo wako.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa. Sawa mdogo wangu.
HahahahahaaaHeri ya kuzaliwa Mwifwa kumbe nawe pia ka wengine.. umedakwa humu na kuwa mpoleeee.. burudika
Napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama Dada Mkubwa wa Familia ya kina Mwifwa kuwashukuru wale wote wana Familia ya Jf mliojumuika nasi katika kumtakia kila la kheri mdogo wetu mpendwa Mwifwa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Upendo na Mioyo hiyo hiyo mliyotuonyesha kwa siku ya jana.
Mie nilikuwa busy na mambo ya maandalizi ndio sababu sikuwa natia neno humu. Muwe na kila la kheri na kwa wale mliochelewa bado mnakaribishwa sio mbaya mkaendelea kumtakia maisha marefu kijana wetu mpendwa na aliye kipenzi watu.
Wana Familia wote kwa pamoja ukhuty, Davet na mimi Hajar tunawashukuru Mnoo na tunawapenda zaidi ya sanaaaaa. Mbarikiwe wote. INSHA ALLAH.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
HahahahaaaaaaHahaaa. Mie namsalimia tu.

Ahsante sana Dada zangu Hajar, ukhuty na Kaka yangu Davet. Kwa hakika mlijipanga mkapangika kuhakikisha hili jambo linafanikiwa Mungu awalipe kila la kheri.Napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama Dada Mkubwa wa Familia ya kina Mwifwa kuwashukuru wale wote wana Familia ya Jf mliojumuika nasi katika kumtakia kila la kheri mdogo wetu mpendwa Mwifwa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Upendo na Mioyo hiyo hiyo mliyotuonyesha kwa siku ya jana.
Mie nilikuwa busy na mambo ya maandalizi ndio sababu sikuwa natia neno humu. Muwe na kila la kheri na kwa wale mliochelewa bado mnakaribishwa sio mbaya mkaendelea kumtakia maisha marefu kijana wetu mpendwa na aliye kipenzi watu.
Wana Familia wote kwa pamoja ukhuty, Davet na mimi Hajar tunawashukuru Mnoo na tunawapenda zaidi ya sanaaaaa. Mbarikiwe wote. INSHA ALLAH.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Amiin[emoji120] [emoji120]Yaani tunawashukuru mnoo. Mie pia nawashukuru sababu wakati niko busy na wageni nyie hamkuwa nyuma na Wana familia ya jf.
Mbarikiwe sana wadogo wangu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maandalizi ya kumpokea wifi yenu Moneytalk?
Shukrani sana mkuu, uhali gani? Umejiteka wapi? Umeadimika sana humu jamviniHappy bday homeboy wangu mwifwa