Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Nashukuru naendelea vizuri mkuu.Duuh! Pole sana rafiki. Unaendeleaje sasa?
Ha ha ha haNa akome kabisa...
Teh tehAcha uchokozi
Nashukuru naendelea vizuri mkuu.
Nashukuru sana mpendwa,jioni yako ikoje mkuuSawa ndugu Ugua pole.
Jioni yangu iko poa kabisa Mkuu. Sijui kwako?Nashukuru sana mpendwa,jioni yako ikoje mkuu
Iko poa sana kwani kuna kaubaridi murua kabisa,nami naelekea home nikacheze na wanangu.Jioni yangu iko poa kabisa Mkuu. Sijui kwako?
Usijali naandaaa mistari hapa soon kitu kitakuwa hewaniOyaaaaaa
Aya weeeee
Uje ufungue uzi utupe habari..😀
Kipenzi nilikuwa busy sanaUwahi kipenzi changu
My sweetheart [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nakupenda sana
Ahsante sana HornetHappy birthday @mwifa
Napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama Dada Mkubwa wa Familia ya kina Mwifwa kuwashukuru wale wote wana Familia ya Jf mliojumuika nasi katika kumtakia kila la kheri mdogo wetu mpendwa Mwifwa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Upendo na Mioyo hiyo hiyo mliyotuonyesha kwa siku ya jana.
Mie nilikuwa busy na mambo ya maandalizi ndio sababu sikuwa natia neno humu. Muwe na kila la kheri na kwa wale mliochelewa bado mnakaribishwa sio mbaya mkaendelea kumtakia maisha marefu kijana wetu mpendwa na aliye kipenzi watu.
Wana Familia wote kwa pamoja ukhuty, Davet na mimi Hajar tunawashukuru Mnoo na tunawapenda zaidi ya sanaaaaa. Mbarikiwe wote. INSHA ALLAH.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Helo pachaJioni yangu iko poa kabisa Mkuu. Sijui kwako?
Shukrani sana mkuuH.b.d kiongozi
Chief mwifwa baba la baba nipo jembe langu majukumu tu mkuu yamekazaShukrani sana mkuu, uhali gani? Umejiteka wapi? Umeadimika sana humu jamvini