Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama Dada Mkubwa wa Familia ya kina Mwifwa kuwashukuru wale wote wana Familia ya Jf mliojumuika nasi katika kumtakia kila la kheri mdogo wetu mpendwa Mwifwa. Mwenyezi Mungu azidi kuwapa Upendo na Mioyo hiyo hiyo mliyotuonyesha kwa siku ya jana.

Mie nilikuwa busy na mambo ya maandalizi ndio sababu sikuwa natia neno humu. Muwe na kila la kheri na kwa wale mliochelewa bado mnakaribishwa sio mbaya mkaendelea kumtakia maisha marefu kijana wetu mpendwa na aliye kipenzi watu.

Wana Familia wote kwa pamoja ukhuty, Davet na mimi Hajar tunawashukuru Mnoo na tunawapenda zaidi ya sanaaaaa. Mbarikiwe wote. INSHA ALLAH.

[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Back
Top Bottom