Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Ewaaaahhh.

Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.

Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
Amen my love,ahsante kwa kuwa wangu na furaha yangu pia,thamani yako kwangu inazidi vyote,tuzidi kumuomba mungu atuepushe na mabaya,atujalie uvumilie kwa kila hali,mapenzi yetu basi yatenganishwe na kifo tu!nakupenda mwifwa
Am proud of you guys
So proud
 
Back
Top Bottom