Pole sana mkuu, vyuma hivyo tafuta lubricantsChief mwifwa baba la baba nipo jembe langu majukumu tu mkuu yamekaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naota au nipo ndotoni?
Ewaaaahhh.
Babe nilikuwa nakusubiri sana hapa, kwa hakika Babe wako kazaliwa upya sasa ni mpya kabisa kwa kila nyanja ya kimuonekano, kimtazamo, kifikra, kiumbo, kimalengo, kiupendo kwako wewe.
Nakupenda sana babe wangu moneytalk, Mungu atujalie maisha marefu yenye upendo, amani, uvumilivu na baraka tele kadri ya mapenzi yake.
Am proud of you guysAmen my love,ahsante kwa kuwa wangu na furaha yangu pia,thamani yako kwangu inazidi vyote,tuzidi kumuomba mungu atuepushe na mabaya,atujalie uvumilie kwa kila hali,mapenzi yetu basi yatenganishwe na kifo tu!nakupenda mwifwa
Sawa shemeji ubarikiwenimeshafika japo nilichelewa shemela
thnx lvAm proud of you guys
So proud
[emoji120][emoji120][emoji120]Sawa shemeji ubarikiwe
Hubby[emoji8][emoji8][emoji8]My sweetheart [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
usijal honey kikubwa uzimaKipenzi nilikuwa busy sana
Nakuja kukuchukua twende Fish Market tukale Dinner
Nimejifunza kukubalina na maisha[emoji120][emoji120][emoji120]
majukumu tu yalibana,ila nisingeweza kuisahau hii siku muhimu kwake,sipendi kumuona akiwa hana furaha na mimi nipoNimejifunza kukubalina na maisha
Ila ulichelwa kumuwish mzee bhana.
Chaiiimajukumu tu yalibana,ila nisingeweza kuisahau hii siku muhimu kwake,sipendi kumuona akiwa hana furaha na mimi nipo
hakuna namna maisha lazima ukubaliane nayo mtumishiNimejifunza kukubalina na maisha
Ila ulichelwa kumuwish mzee bhana.
usijal tunapendana sana,wala hatuwezi achana na usiache kutukumbuka katika sala zakoChaiii
Kweli meli isha tia nanga hii.
Usjali tumefurahi hata kuona tuu uwrpo wako hapa
MIfwa ni mtu mzuri, i hope hutamsumbua
Bas sawausijal tunapendana sana,wala hatuwezi achana na usiache kutukumbuka katika sala zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Upo live
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Am proud of you guys
So proud
My love[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]thnx lv
That is the best gift kutoka kwa Muumba wetu, hatuna budi kushujur kwa kila jambo.usijal honey kikubwa uzima
Thanks sana babe kwa upendo huo kwangumajukumu tu yalibana,ila nisingeweza kuisahau hii siku muhimu kwake,sipendi kumuona akiwa hana furaha na mimi nipo
Niambie Pacha. Mambo niaje?Helo pacha