Happy Birthday Mwifwa!

Duhhh.....!!!
Watu tusio na bahati humu Jf tunaishi maisha magumu sana, maana kila kukicha miti yote huteleza tu wallah....
Hahahaaa..
Mkuu umefanya nicheke sana mana siku zote najiuliza hivi mm nimezaliwa peke yangu? ???
Kumbe pacha wangu upo asee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukisherekea siku ya kuzaliwa ujaue

uliko toka ni mbali

Unako enda hujui

Fanya sana ibada

Wajali wahitaji

Mungu akuongezee miaka zaidi ila uendelee kutimiza Yale anayo kuagiza uyatimize


Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa
 
Mbaya zaidi ni kuja kufa ukingali na utamu wako, wakati wao hawataki kujibu PM zetu.... tehteehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee tuna nuksi utadhani tumezaliwa njia panda.
Yani zile nazi wanazo vunja utadhani zimepasukia kwenye miili yetu. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…