Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mbona yupo sana tu. Jana tumekesha wote hapa...Babu hivi umeshindwa kabisa kuturudishia huyu mtu jukwaani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yupo sana tu. Jana tumekesha wote hapa...Babu hivi umeshindwa kabisa kuturudishia huyu mtu jukwaani?
Hapo una ya pink au nyeupe?Hahaaa. Hivi hivi babu.
Kasharudi yuko mtaani. Jana tumekesha wote hapa...nilikuwa sijui asee, lkn si amesharudi kwao?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee tuna nuksi utadhani tumezaliwa njia panda.
Yani zile nazi wanazo vunja utadhani zimepasukia kwenye miili yetu. Lol.
Mmh. Jamaani babu mbona hivyo.Hapo una ya pink au nyeupe?
Jamaani. Lol.Watu na nyota zao haki tena, wengine hata marafiki hatupati aisee....
Heri ya kuzaliwa bro Mwifwa, endelea kuinjoy maisha wakati una nguvu
Miss you nataka shariHappy birthday Mwifwa, Mungu akujaalie umri mrefu rafiki ukapate kumjua na kumtukuza yeye tuu akakuongezee hekima na maarifa tele kwa kila siku iitwayo leo.
Hiki kidogo chetu kipokee kwa mikono miwili ukapate kufurahi na familia yako.
View attachment 734057
Huyo aliyekuficha mpe salamu zangu,Miss you nataka shari
Huyo aliyekuficha mpe salamu zangu,
Mmejua kunisumbua na mamaako, mehangaika kuwatafuta sana sijui twapishana wapi jamani.
Mbali ya yote mekumisi pia mtafuta suluhisho [emoji4]
Hongereni na karibuni tena, nimefurah kukuona DearMwenzangu sijui tulipotelea wapi kusikojulikana, ila sasa hivi tumerudi; tunapatikana sana tu
Kupanga ni kuchagua atakuwa bado anachagua rafikiJamaani. Lol.
Mbona wapo wengi mdogo wangu itakuwa hujawataka tu bwana au hatujakufaa kina sie. [emoji12]