Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh...!Ahsante sana jirani na mchepuko wake Babu Asprin
Ha ha ha ha...mkuu Bonny; unahisi harufu ya utengano? Ondoa hofu.Ila mialiko inatoka kwa codes sjaelewa
Kwanza nimekuhamu sana carba, aliyekuficha mwambie na yeye nitamficha.Happy bday @Mwifwa,Mungu aendelee kukushika mkono siku zote za maisha yako.
Akujaalie afya,hekma na subra.
Ahsante sana mkuuHappy birthday Mwifa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh teh,..nathubiri yako ww nikufumbe mdomoo[emoji13][emoji13]
Chit-Chat yatosha.Inabid kuwe na jukwaa la wishes. .
Au lipo mm silijui?!
Hapa ndio Yale ya kukuta manyoyaHa ha ha ha...mkuu Bonny; unahisi harufu ya utengano? Ondoa hofu.
Hahahaaa. Lol.Ahsante sana Dada yangu wa nguvu mwenye nyota yake humu jamvini
Nipo hapa nimejaa tele ushindwe mwenyeweSijambo swahiba
Kichwa Kichafu alinitelekeza pasaka sijamwona ila itakuwa kajiteka kwa jje's
Besidei boi akija mwambie bado yuko kwenye rada yangu[emoji12][emoji12]
PM saivi sitaki mtu akuje comrade, maana kina binti mmoja ametaka kuniangushia ban isio ya lazima kwa kuyaanika ya kule hapa, tena mubashara kabisa..... tehteehhhNinong'oneze hiyo ID yako nyingine ili nije PM kukuseduce[emoji12] [emoji85] [emoji85]
Bahati ya mwenzio huwezi kuilalia mlango wazi.Duhhh.....!!!
Watu tusio na bahati humu Jf tunaishi maisha magumu sana, maana kila kukicha miti yote huteleza tu wallah....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahahahaaaaaa.
Labda niko millenium Tower mkuu
Ha ha ha,nadhani ukhuty,davet na hajar hawawezi kutuangusha.Hapa ndio Yale ya kukuta manyoya
Shukrani sana mkuu na wewe usishi miaka mingi kadri ya mapenzi yake MuumbaLong live
Umestahili...ukiona yanasemwa, ujue kuna ukweli.Mshukuru Allah...!Hahahaaa. Lol.
Karibu sana mdogo wangu. Ila sio kwa kunipa mijisifa hiyo lol.