ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
usijal wagen wote wako poa na shughul inaendelea vyema mdog wangu ondoa wasMumhakikishe wageni wote wanapata sehemu ya kukaa kabala ya tukio kuruka hewani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usijal wagen wote wako poa na shughul inaendelea vyema mdog wangu ondoa wasMumhakikishe wageni wote wanapata sehemu ya kukaa kabala ya tukio kuruka hewani
jaman mambo yote ya mualiko nimemuachia dada hajar mdog wangu mim nahakikisha wagen wote wanatabaruk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji113]Mkuu venue ni wapi? Je ruksa kuja na kisambwada( ngai,kidenish,kishtobe,mwasi kitoko,Mwana mrito, kipapri,demu,manzi,bibi, hawara,kidumu)?
Ahaaajaman mambo yote ya mualiko nimemuachia dada hajar mdog wangu mim nahakikisha wagen wote wanatabaruk
tunamshukur Mungu mpk sas mambo yanaenda sawa alihamdulillahAhaaa
Hapo sawa, najua hilo atalisimamia vyema kabisa na kufanikiwa kwa asilimia zote
Amechelewa kufika kakuta kadi zimeishakwani huyu ipogo hakupata kadi ?
daaah ngoj nimuingize na mlango wa uwani maan sijui kama davet atakubal kumpitisha kwa mlango mkubwaAmechelewa kufika kakuta kadi zimeisha
Bado tunamuhitaji sana.Happy birthday Mwifaa endelea kutumia ndom ili tuendelee kukuwish
Yaani hafla imefanikiwa vizuri kabisa.tunamshukur Mungu mpk sas mambo yanaenda sawa alihamdulillah
hapana chezea kamati ya ufundiYaani hafla imefanikiwa vizuri kabisa.
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa
Kweli kabisa mkuuBado tunamuhitaji sana.
Hapo sawa hiyo mbinu nzuri sanadaaah ngoj nimuingize na mlango wa uwani maan sijui kama davet atakubal kumpitisha kwa mlango mkubwa
Ahsante sana Beira Boy-LONDON BOYHongera sana bro kwa kuzaliwa
Shukrani sana mkuuHappy b'day swahiba.