Happy belated bday..shanisarie..kumbe tumezaliwa mwenzii mmoja lol..mungu akupe afya tele ww na mumeo kiwatengu
Happy birthday wifi
Thanks love kwa kuniwakilisha vema.....!Happy birthday #shansarie
Nimewamiss mnoo
Pokea ujumbe huu kutoka kwa Chocs & Erickb52
Uwe na maisha yenye kheri na afya telee
Thanks love kwa kuniwakilisha vema.....!
Happy Birthday shem!
Baby usisahau jmos hii tunameeting pls!
Nipo mkuu....tunapambana na sakata la Escrow kwa nguvu zote.Mhe. Habari ya siku kibao?
Nipo mkuu....tunapambana na sakata la Escrow kwa nguvu zote.
Likipita ntarejea km zamani...siunajua tena maisha kupambana!
Hahahaaaaa pole sana....njoo huku tunamiliki EscrowNimetoroka kijiweni nije home nicheki bunge mara tanesco wamekata