Happy birthday my Darling! I love you

Happy birthday my Darling! I love you

Haby bilated day shansarie, actually jighuluke katika maisha yako, to summarize: stay blessed. janeth1 mke wangu umepita zis wei kusabai dada yako?

Nilikuwepo siku ya pati Mme nilikuwakilisha vema sana mpenzi...jighuluke kabisa twimatulee....
 
Last edited by a moderator:
Happy belated bday..shanisarie..kumbe tumezaliwa mwenzii mmoja lol..mungu akupe afya tele ww na mumeo kiwatengu
 
Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa madam shansarie. Mungu akujalie afya, furaha na mafanikio...!

Kiwa, una uhakika kuwa mie na KOKUTONA tumepeana talaka?

Nani huyo anatuzushia baby Eli79, waambie siyo lazima maisha yetu yawe public...leo usicheleweee, tuna ile safari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom