Happy birthday my Darling! I love you

Happy birthday my Darling! I love you

Ndo nataka tuongee na wewe nibadilishe

Umefanya vema kujileta..! Paroko Eiyer Yuko wapi Sasaivi Maana nataka nikuambie vitu Vzr asisikie huyo Paroko.

Hahaaa sasa kabla sijakujibu niambie kwanza Khantwe yukwapi?
 
Last edited by a moderator:
Mokoyo na Asprin ndo wananipaga hela ya saluni maana wewe huwa unanikazania eti ninyoe khaaa mwanamke urembo bhana natural tuiachie misitu

😀 😀 hizi ni harakati za saccos aisee, au ndiyo hivyo kuna wakuhudumia lakini mlaji ni Ntuzu?
Kama wote ni walaji hii ni hatari sana
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday shansarie
How old are you now?

Thanks kiwatengu shansarie..have a wonderful birthday. ..

Hongera sana shem shansarie. Ni maombi yetu Mungu azidi kuwafunika chini ya mbawa zake, awatunze, awalinde, wafadhili na kuwaongoza katika safari yenu hapa chini ya jua na baada ya hapa.

Hongera pia ndugu yetu kiwatengu kwa kubahatika kumpata huyu mwali, hongera pia kwa kujali na kumthamini mpendwa wako huyu. We can only wish you the BEST.

Bandugu nisameheni kwa kutofika hapa mapema taa yangu iliishia mafuta njiani nikaja na giza tororo.

Happy birthday bestito shansarie nimekumisije?

Mungu akupe maisha mengi ya uhai uwe na afya njema

Aasanteni sana sherehe iliisha vema sana
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana shem shansarie. Ni maombi yetu Mungu azidi kuwafunika chini ya mbawa zake, awatunze, awalinde, wafadhili na kuwaongoza katika safari yenu hapa chini ya jua na baada ya hapa.

Hongera pia ndugu yetu kiwatengu kwa kubahatika kumpata huyu mwali, hongera pia kwa kujali na kumthamini mpendwa wako huyu. We can only wish you the BEST.

Bandugu nisameheni kwa kutofika hapa mapema taa yangu iliishia mafuta njiani nikaja na giza tororo.

Usijali na asante kwa kunitakia mema.
The best has yet to come and am so blessed thank to sir God
 
Back
Top Bottom