Happy birthday my Darling! I love you

Happy birthday my Darling! I love you

Hongera sana shem shansarie. Ni maombi yetu Mungu azidi kuwafunika chini ya mbawa zake, awatunze, awalinde, wafadhili na kuwaongoza katika safari yenu hapa chini ya jua na baada ya hapa.

Hongera pia ndugu yetu kiwatengu kwa kubahatika kumpata huyu mwali, hongera pia kwa kujali na kumthamini mpendwa wako huyu. We can only wish you the BEST.

Bandugu nisameheni kwa kutofika hapa mapema taa yangu iliishia mafuta njiani nikaja na giza tororo.
 
Ushabadili mke sikuhizi? Haya nimejileta nimbieee

Ndo nataka tuongee na wewe nibadilishe



Umefanya vema kujileta..! Paroko Eiyer Yuko wapi Sasaivi Maana nataka nikuambie vitu Vzr asisikie huyo Paroko.
 
Last edited by a moderator:
Ndo nataka tuongee na wewe nibadilishe



Umefanya vema kujileta..! Paroko Eiyer Yuko wapi Sasaivi Maana nataka nikuambie vitu Vzr asisikie huyo Paroko.

Ngoja nikatafute miwani yangu nahis sioni vizuri
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday bestito shansarie nimekumisije?

Mungu akupe maisha mengi ya uhai uwe na afya njema
 
Shikamoo kaka Ntuzu.Hivi shemeji yako jana alikusikiliza uliyomuomba?



Marhaba dada yangu...!

Duh...! Shemeji hakunisikiliza. Katoka nduki huyo kaona mambo gani tena ya kupigana mizinga...!
 
Last edited by a moderator:
Marhaba dada yangu...!

Duh...! Shemeji hakunisikiliza. Katoka nduki huyo kaona mambo gani tena ya kupigana mizinga...!

Jamani sasa asipokusikiliza wewe uliyemkuzia mke si ni tabia mbaya hiyo.Wewe Rogie sio vizuri unavyomfanyia kaka yangu unaambiwa ukipenda boga penda na ua lake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom