Happy birthday my Darling! I love you

Kwema kabisa Shemeji yangu...! Bora Umekuja bwana Maana sim yangu haina ata salio la kubip Shem...! Alafu hii simu yangu ya tochi inasumbua sn

Mmmmhhhhhhhh.....!!!!
 
Mimi na Mme wangu Mwanyasi tunawatakia sherehe njema ....heri ya kuzaliwa mama kiwatengu Mungu akupe maisha mema na yenye fanaka.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday shansarie,,,, Mungu akupe maisha marefu upate kuona wajukuu wa wajukuu zako...
 
Last edited by a moderator:
Kwema kabisa Shemeji yangu...! Bora Umekuja bwana Maana sim yangu haina ata salio la kubip Shem...! Alafu hii simu yangu ya tochi inasumbua sn

Thats my kaka bwana hanaga mambo ya kificho ficho.Nadhani bado unaendeleza kale kaslogan ketu"mchuzi wa mmbwa uliwa wa moto".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…