Mamamaeeeee umenifurahishaa sana salam kazipata hapa anasoma nae pia anacheka na mdomo wake akicheka unakaa kama love ,,nimefatwa mama msukuma nimefatwaa nampenda kweli huyu mwanaume hata jini mkata apite hapa siachiii,,nanukia hapa shogaa si unajua vitu vya kwa Trump View attachment 716857
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Buroo kuwa makini kudandia wishez za watu ukitekwa adhabu ni hiiView attachment 716859
Bora umwambie maana namuona tu anavyojiongeza[emoji23]Buroo kuwa makini kudandia wishez za watu ukitekwa adhabu ni hiiView attachment 716859
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125]Mama Sabrina naomba nimsalimie G kwa pm yako! teh kwa niaba ya wanawake wa mikoani(jokes)!kweli kuna watu wanajua kupenda jaman!yaan had amekufuata!had raha !na hyo mizawadi sasa awwwwww!
hepi besidei tu u shem G!
wapi NAHUJA pita villa park jion umsalimie shem wetu!
pia nasubiria picha ya boda pm🙁🙁🙁🙁
hahahaha kweli kichwa chako ni kichafu mkuu, kwani wewe ndo G?Asante kipenzi kwa Wish
Hizo sifa zinaashiria mfuko umetuna na ATM umekabidhiwa
Tunasubiri kesho uje na uzi wa kusema wanaume wanaigiza mapenzi[/
kabisa mkuu
Hehehehe vyote nimempa kiukwelisamaki tu? si umpe na naniihii ale
mama sabrina anko hajambo?Acha tufaidi mkikua mtafaidi pia
saaafi icho ndo cha ukweli ssHehehehe vyote nimempa kiukweli
Hata hapa tunarudi hotel ee naenda kumpa
Hehehehe bor umemwambiaBuroo kuwa makini kudandia wishez za watu ukitekwa adhabu ni hiiView attachment 716859
Ajali kazini [emoji23]Buroo kuwa makini kudandia wishez za watu ukitekwa adhabu ni hiiView attachment 716859
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ajali kazini [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125]
Kweli naona leo mama wa kisukuma kajitwali kiben 10 ameogopa hata kumtagi NAHUJAahhaha jus chitchat(jokes) kila mtu apambane na hali yake
Kiukweli tupo vizuri,,yupo vizurii tu kwa hilo piaHizo sifa zinaashiria mfuko umetuna na ATM umekabidhiwa
Tunasubiri kesho uje na uzi wa kusema wanaume wanaigiza mapenzi
Sio yeyehahahaha kweli kichwa chako ni kichafu mkuu, kwani wewe ndo G?