MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Mamamaeeeee umenifurahishaa sana salam kazipata hapa anasoma nae pia anacheka na mdomo wake akicheka unakaa kama love ,,nimefatwa mama msukuma nimefatwaa nampenda kweli huyu mwanaume hata jini mkata apite hapa siachiii,,nanukia hapa shogaa si unajua vitu vya kwa Trump View attachment 716857
shoga nilifaint !aiseee !mshikilie usimwache !achana nawote sasa ustick naye !aisee hyo mwanaume !hakuna mwanamke ambaye hapendi zawadi !asante shemela kwa zawad kwa kuwawakilisha wanawake wasukuma nasi tunukie !
ila msalimie Dinazarde 🙁🙁🙁! enjoy tothe fullest
alafu Nazjaz nasubiria zawad ya perfume shoo