Happy birthday my handsome G

Happy birthday my handsome G

shoga nilifaint !aiseee !mshikilie usimwache !achana nawote sasa ustick naye !aisee hyo mwanaume !hakuna mwanamke ambaye hapendi zawadi !asante shemela kwa zawad kwa kuwawakilisha wanawake wasukuma nasi tunukie !

ila msalimie Dinazarde 🙁🙁🙁! enjoy tothe fullest


alafu Nazjaz nasubiria zawad ya perfume shoo
Sina mwingine zaidi yake hapa nimetua na mizigo yangu yote my dia nnapendwa sijawah pendwa hivi aisee yaan Mungu akipanga anapanga tu ,,,nanukia hapa acha tu namshukuru sana kiukweli
 
Back
Top Bottom