Happy birthday my handsome G

Happy birthday my handsome G

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Nnavyosema handsome namaanisha kweli anatazamika haswa na yale mabody nayopenda sasa hehehehe safari hii nimekamatika.
Leo ni siku kubwa kwangu mimi na G pia ni siku yake ya kuzaliwa nasikia wale watu wote wenye akili duniani wamezaliwa mwezi huu[emoji8][emoji8] ndio hivyo yaaan,nachukua fursa hii adimu kumtakia kheri na baraka tele kwenye siku yake hii kubwa ya kuzaliwa .
Ni siku kubwa kwangu kwa maana ya nipo nae pamoja toka jana nilivyompokea asubuhi na ni mara yake ya kwanza kufika Mwanza ni kitu kikubwa mno kunipa nafasi na kunipa kipaumbele na kunipa muda wake ,sijui hata nimpe nini huyu mwanaume hizi siku najiona kama malaika kila napotembea nae njiani nashikwa mkono,nakisiwa ,nakumbatiwa nitake nini nisipewe upendo mkubwa uliopo kati yetu ,Mungu akiamua kukupa anakupa tu yaan huyu mwanaume ndie nilikuwa nikimtaka ,kuandika kwangu kule chit chat kumenipatia bonge la bwana , ule uzi wa Hamorapa naushukuru sana [emoji8][emoji8][emoji8] mwanaume ana roho nzuri kwa watu wote,ana huruma sana,ana upendo mwingii mpaka namuangalia simmalizi ,ana hofu ya Mungu ,kitandani ndio usiseme hapa siri yangu mpaka naona wivu ila nahisi nimejitahidi sijawaangusha kwenye hilo[emoji23][emoji23][emoji23] japo nazidiwa sometime lakin tuko vizuri
My love G ,baba angu,roho yangu nakupenda sana sana najua unajua toka tumefahamiana na tumekutana mpaka muda huu navyoandika upo karibu na mimi,upendo wako nimeupokea na ntaurudisha mara 1000 ,nikutakie heri na baraka tele kwenye siku yako ya kuzaliwa
Tuzidi kupendana mengine yatafuata inshaalllah

Narusha picha zinagoma leo natamani ningewaonesha zawadi nilizoletewa,halaf badala ya kula keki anakula samaki tu leo , jioni tunaenda Cinema kuangalia Black panther ,tukitoka hapo nampeleka Villa park akale samaki leo ni samaki tu hakuna keki
Mambo ni hiviiiiii ni balaaa
Happy birthday my love
 
Young disappointed generation ndo wanaishia kuandika hivi!
 
Happy Birthday G.

Kila la kheri katika kupendwa kwako mwaya. Sipati picha anajisikiaje huko aliko kwa haya mazuri yote uliyomwagia.

Zidi kuomba mumy akupende hivyo daima.
Asante Hajar,sio huko aliko nipo nae hapa kajilalia kifuani tupo beach
IMG-20180316-WA0006.jpg
cheki hapo tumejikuta tumevaa sare
 
Mama Sabrina naomba nimsalimie G kwa pm yako! teh kwa niaba ya wanawake wa mikoani(jokes)!kweli kuna watu wanajua kupenda jaman!yaan had amekufuata!had raha !na hyo mizawadi sasa awwwwww!
hepi besidei tu u shem G!


wapi NAHUJA pita villa park jion umsalimie shem wetu!
pia nasubiria picha ya boda pm🙁🙁🙁🙁
Mamamaeeeee umenifurahishaa sana salam kazipata hapa anasoma nae pia anacheka na mdomo wake akicheka unakaa kama love ,,nimefatwa mama msukuma nimefatwaa nampenda kweli huyu mwanaume hata jini mkata apite hapa siachiii,,nanukia hapa shogaa si unajua vitu vya kwa Trump
IMG-20180316-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom