Happy birthday my handsome G

Happy birthday my handsome G

Huyo jamaa ni rahisi kuibiwa namimi,

Anakuacha vipi uchat na mahndsome kutoka sayari za kitume? Ni vyema kama unampenda mroge asione akipigiwa mishindo ya Aliens.
Aaa wapi nipo nae nalala nae ,,naondoka nae kuja Dar tena muda tunao,tupo vizuri
 
Sina mwingine zaidi yake hapa nimetua na mizigo yangu yote my dia nnapendwa sijawah pendwa hivi aisee yaan Mungu akipanga anapanga tu ,,,nanukia hapa acha tu namshukuru sana kiukweli


safi sana !uzuri nachowapendea wasukuma wanajua vilivyo kushukuru! ukishukuru inampa moyo sana !shukuru kwa kila jambo !hata akikuskwitisha tafadhari sema asante!
 
Back
Top Bottom