mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
hahahaha aisee...ok braza.Inaweza kutoa mambo ya biko nikabahatika kung'oa mtoto hahahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha aisee...ok braza.Inaweza kutoa mambo ya biko nikabahatika kung'oa mtoto hahahha
my ribsHuyo jamaa ni rahisi kuibiwa namimi,
Anakuacha vipi uchat na mahndsome kutoka sayari za kitume? Ni vyema kama unampenda mroge asione akipigiwa mishindo ya Aliens.
IndeedYoung disappointed generation ndo wanaishia kuandika hivi!
unasemaje vileSingle motha and a creole sponsor.
Hapa iko namna hapa ngoja nifanye risechiNAHUJA sumu sana yle !mm siwez kamwe kumtambulissha kwa Paschal(mume) wangu!hafaiii!teh jokes
hahaha upo!nipo hapa kwa sample...Hapa iko namna hapa ngoja nifanye risechi
Namuomba demi awe enumiratorhahaha upo!nipo hapa kwa sample...
Atakuja tu,namuhitaji sana kwa gharama yoyote
huyu atakuwa ananyanyua vyuma tena vya reli...Happy Birthday G!Asante Hajar,sio huko aliko nipo nae hapa kajilalia kifuani tupo beachView attachment 716848 cheki hapo tumejikuta tumevaa sare
Asante sana
Hongera kwa Kupendwa!Sina mwingine zaidi yake hapa nimetua na mizigo yangu yote my dia nnapendwa sijawah pendwa hivi aisee yaan Mungu akipanga anapanga tu ,,,nanukia hapa acha tu namshukuru sana kiukweli
Eheheh baby si unajua venye napenda muscles hapa nimefika ntakutumia picha uone tulivyopendeza utafikiri picha za sendoff mwanaume akiwa huru nawe raha kwelihuyu atakuwa ananyanyua vyuma tena vya reli...Happy Birthday G!
Asante hata mi nampenda sana tuHongera kwa Kupendwa!
Unanitisha na wewe[emoji6] [emoji6]Bora umwambie maana namuona tu anavyojiongeza[emoji23]
Kichwa Kichafu
safi sanaMama Sabrina naomba nimsalimie G kwa pm yako! teh kwa niaba ya wanawake wa mikoani(jokes)!kweli kuna watu wanajua kupenda jaman!yaan had amekufuata!had raha !na hyo mizawadi sasa awwwwww!
hepi besidei tu u shem G!
wapi NAHUJA pita villa park jion umsalimie shem wetu!
pia nasubiria picha ya boda pm🙁🙁🙁🙁