Endelea tu kusubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na cku akikuacha usiache kutuambia
[emoji120] [emoji120] [emoji120] luvHappy bday kipenzi cha Mwifwa
Asante sana shemeji yangu kipenziHappy birthday shemela moneytalk
Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka na furaha katika maisha
Asante sana,uje tukate wote kekiHeri ya kuzaliwa, shemeji
Naona tumezaliwa mwezi mmoja
thnx shemHbd shem
Mimi tena najiandaa nije nile hiyo cakeAsante sana,uje tukate wote keki
karibu sanaMimi tena najiandaa nije nile hiyo cake
Asante sana wifi yangu kipenzi,usisahau kuja na keki eeehHappy birthday Wifi langu la nguvu. Allah azidi kukupa maisha marefu Insha Allah.