katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Vinc mbona kama kishingo upandeMapenz ya JF bwana...
Happy birthday Moneytalk..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinc mbona kama kishingo upandeMapenz ya JF bwana...
Happy birthday Moneytalk..
Okayasante sana kipenzi changu,mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukuongezea mafanikio tele ktk maisha yako,umekuwa mwanaume wa pekee sana kwangu unayenipenda,kunijal,unaniheshimu na mwenye mwenye mapenzi ya dhati kwangu,japo mazingira tuliyokutana(jf)ilikuwa vigumu kuamini kama tungefikia hapa leo! Nakupenda sana mwifwa wangu umenifanya niwe jasiri,umeondoa huzuni moyoni mwangu na kunifanya niwe mwenye tabasamu muda wote!NITAKUPENDA MILELE
Aamin RabbiHappy birthday Wifi langu la nguvu. Allah azidi kukupa maisha marefu Insha Allah.
Mapenz ya JF bwana...
Happy birthday Moneytalk..
Nasi tutengeneze couple nimechoka kukita Shem..Acha wivu mfyuuu
Nimeshangaa kuona wanaita wapenz..Vinc mbona kama kishingo upande
Najaribu kuonganisha dot hapa ili nipate majibu sahihi lakin.....View attachment 826640
Dear kipenzi changu siku zimefika, miaka …… umetimiza katika hii dunia.
Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, anayenipenda, anayeniheshimu, anayenithamini
Hongera sana kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi wa moyo wangu,
zawadi yako toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.
Happy Birthday mpenzi wangu moneytalk
Ebu ukoNasi tutengeneze couple nimechoka kukita Shem..
Kweli serious shuniiEbu uko
Kweli serious shunii
I love u shuniiiKwendraaaa
Hahaha auaminiNimeshangaa kuona wanaita wapenz..