Happy birthday my Love moneytalk

Ndugu mjumbe, kwanza nikumbe radhi kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi.... naomba kuunganisha mkono kwenye hii mada ambayo inatufanya tupate mwivu sisi tuliokosa (my love)
 
Ndugu mjumbe, kwanza nikumbe radhi kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi.... naomba kuunganisha mkono kwenye hii mada ambayo inatufanya tupate mwivu sisi tuliokosa (my love)
Hahahahaaaaa

Bwana mjumbe usihofu tupo pamoja
 
Ndugu mjumbe, kwanza nikumbe radhi kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi.... naomba kuunganisha mkono kwenye hii mada ambayo inatufanya tupate mwivu sisi tuliokosa (my love)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yani wewe mtu nakupenda bure
Kwa mara ya kwanza naomba nitangaze kwenye hii hadharani kwamba, hatamimi nilikua nakupenda, lakini nilikua ninahofia kama utanipenda na hii sura yangu nzito...πŸ˜™πŸ˜™
 
Kwa mara ya kwanza naomba nitangaze kwenye hii hadharani kwamba, hatamimi nilikua nakupenda, lakini nilikua ninahofia kama utanipenda na hii sura yangu nzito...[emoji11][emoji11]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole Mh mjumbe
 
Kwa mara ya kwanza naomba nitangaze kwenye hii hadharani kwamba, hatamimi nilikua nakupenda, lakini nilikua ninahofia kama utanipenda na hii sura yangu nzito...[emoji11][emoji11]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niache huko
 
Muwe na wakati mzuri nyote. Happy B'day wifi yetu Mungu akuongezee miaka mingi zaidi ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…