Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakikupa zawadi unigawie na mmkivuruge wangu nilikumiss unajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakikupa zawadi unigawie na mmkivuruge wangu nilikumiss unajua
Ndo ujitwalie na wewe mmoja hapa ili ubebishwe[emoji6]Haki ya nani mapenzi haya ya JF yangekuwa yanatendeka hata huku uswahilini kwetu I swear masingles wote wangepotea kabisa.Hongera mkuu kwa mahaba motomoto Japo hiyo ID ya mpenzi wako inanitisha miye "MONEY TALK" na vyuma hv mhhh!!!
Anyway Happy birthday kipenzi cha Mwifwa
Wahenga hawajawahi kuniangusha katika tasnia ya misemo....kula tu na nduguyo Mwifwa[emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia hapo kwenye mautamu.
Ila nimejikuta naukumbuka msemo wa wahenga "Kizuri kula na nduguyo" (Mwifwa asione hapa).
Hongera kwa kuopoa mchuchu mkali mwanaSiku ya leo ni tofauti na ya jana
Kho! Kho! Kho!Vipo vya kushare ila sio utamu
Kila nikienda siwakuti wadau wangu...mko busy mnapalilia ndoa zenu!😉Siku hizi umesusia lindo ee
Nitampata wapi miye na jina langu halina mvuto?[emoji1] [emoji1] [emoji1] but ngoja niendelee kuwinda labda ipo siku nitaokota dodo kwenye mnazi.Ndo ujitwalie na wewe mmoja hapa ili ubebishwe[emoji6]
Cheka zam yako yaja wallahHahaahaaaaa
Kila la heri mwaya! Tumepoteana siku hizi bestNitampata wapi miye na jina langu halina mvuto?[emoji1] [emoji1] [emoji1] but ngoja niendelee kuwinda labda ipo siku nitaokota dodo kwenye mnazi.
We si umenitenga sijui ushachukuliwa na ww basi umeamua kututupa hadi mabest.Haya bhanaKila la heri mwaya! Tumepoteana siku hizi best
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Atanichukua nani mie gari bovu! Nipo best, sema majukumu yamenizidi kwa sasa hivyo nalala mapema.We si umenitenga sijui ushachukuliwa na ww basi umeamua kututupa hadi mabest.Haya bhana
Kwi!kwi!kwi!kwi!eti gari bovu hujui kuna wenzangu na mid huwa wananunua magari sio kwa ajili ya kutembelea bali wapaki uani tu ili ijulikane walau waliwahi kuwa na magari.[emoji1] [emoji1] [emoji1] Atanichukua nani mie gari bovu! Nipo best, sema majukumu yamenizidi kwa sasa hivyo nalala mapema.
Ukimpata mtu wa hivyo unishtue ili anichukue akanipaki uani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwi!kwi!kwi!kwi!eti gari bovu hujui kuna wenzangu na mid huwa wananunua magari sio kwa ajili ya kutembelea bali wapaki uani tu ili ijulikane walau waliwahi kuwa na magari.
Haya bhana naona tunamjazia Uzi mkuu Mwifwa,wanunuzi si wanapatikana kule lindoni?subiria muda ufike twende tukawindeUkimpata mtu wa hivyo unishtue ili anichukue akanipaki uani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli bwana, wacha tumpishe...ila mie lindoni siendi maana nina debe 5 za usingiziHaya bhana naona tunamjazia Uzi mkuu Mwifwa,wanunuzi si wanapatikana kule lindoni?subiria muda ufike twende tukawinde