Happy birthday my Love moneytalk

Happy birthday my Love moneytalk

Haki ya nani mapenzi haya ya JF yangekuwa yanatendeka hata huku uswahilini kwetu I swear masingles wote wangepotea kabisa.Hongera mkuu kwa mahaba motomoto Japo hiyo ID ya mpenzi wako inanitisha miye "MONEY TALK" na vyuma hv mhhh!!!
Anyway Happy birthday kipenzi cha Mwifwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bachelor
 
Hahahahaaaaa.

Japo jalada la kitabu mara nyingi huwa linasadifu yaliyomo, pia mara nyingine huwa kinyume chake na inatubidi kukifungua hicho kitabu ili tupate ukweli wake
haki mwanaume nimepata jaman
 
Hapo nimekudhihirishia kuwa hili jambo limeanza muda mrefu, huo ujumbe ndio ilikuwa. mara ya kwanza kutambulisha hili jambo public(kwa wana JF)

Sasa unganisha dots mwenyewe
Inatosha baby
 
Back
Top Bottom