Happy birthday my Love moneytalk

Happy birthday my Love moneytalk

Nimtafuta namna ya kuandika gazeti ila nimejikuta na lifuta

Safari ya mwanadamu huwa ina mengi katika mengi huya mabaya na mazuri

Unahitaji kuwa na mvumilivu katika kila pito unalo pitia

Hongera kwa kuongeza miaka ya uwepo wako duniani

Mungu akuzidishie afya tele

Mwifwa hongera kwa kujitwaria kimwana 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Kaka ake shikamooo
 
Haki ya nani mapenzi haya ya JF yangekuwa yanatendeka hata huku uswahilini kwetu I swear masingles wote wangepotea kabisa.Hongera mkuu kwa mahaba motomoto Japo hiyo ID ya mpenzi wako inanitisha miye "MONEY TALK" na vyuma hv mhhh!!!
Anyway Happy birthday kipenzi cha Mwifwa
Hahahahaaaaa.

Japo jalada la kitabu mara nyingi huwa linasadifu yaliyomo, pia mara nyingine huwa kinyume chake na inatubidi kukifungua hicho kitabu ili tupate ukweli wake
 
Unajua kuna jamaa fran iv kamuwish demu wake flan iv watsup mbaya zaid uyu jamaa nilishawai kumuuliza jf unatumia id gan sababu nshamgumia mara kibao akichat ila sijafanikiwa kujua id yake
Basi jitahidi upate ukweli wa hilo jambo
 
Back
Top Bottom