Happy birthday my Love moneytalk

Happy birthday my Love moneytalk

Shemeji how do you expect me to remember your birthday when you never look any older??

Happy birthday [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] uishi miaka 75 tu kama ilivyoamriwa na maandiko matakatifu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati huo Mwifwa aishi miaka Sabini na tano.

Sema nn. Kwa maombi yangu ninawaombea miaka ,86 kwa mwifwa.... Alafu kwako miaka 92.

Kama haitoshi Mnune tu ,mvimbe na mpasuke[emoji23].
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante sana ubarikiwe
 
Safi sana happy birthday wifi wa jf .....mawifi tunakupenda uishi miaka mingi yenye amani na baraka tele
 
asante sana kipenzi changu,mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukuongezea mafanikio tele ktk maisha yako,umekuwa mwanaume wa pekee sana kwangu unayenipenda,kunijal,unaniheshimu na mwenye mwenye mapenzi ya dhati kwangu,japo mazingira tuliyokutana(jf)ilikuwa vigumu kuamini kama tungefikia hapa leo! Nakupenda sana mwifwa wangu umenifanya niwe jasiri,umeondoa huzuni moyoni mwangu na kunifanya niwe mwenye tabasamu muda wote!NITAKUPENDA MILELE
Woyooooo .....

Cc: raynavero ...shunie
 
Back
Top Bottom