moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
WoyooooNa roho yako mbaya nashangaa tuliozaliwa August hatuna hizo mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WoyooooNa roho yako mbaya nashangaa tuliozaliwa August hatuna hizo mambo
Asante sanaHappy Birthday
Sesten leo hujataka kuandika kile kidhungu chako eeee. [emoji12] [emoji12]Nakutakia kila la kheri na baraka tele katika siku yako hii muhimu sana. Miaka kadhaa tarehe kama ya leo Moneytalk ulibisha hodi na ukakaribishwa katika dunia hii yenye kila aina ya rangi. Chagua na ubakie na rangi ya waridi, ambayo wewe na hata Mwifwa mtaifurahia siku zote,
Happy birhday to you
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Usijali my wi keki tu umepata mwaya.
Si mpaka nipige vyombo bana Hajar😎😎😎Sesten leo hujataka kuandika kile kidhungu chako eeee. [emoji12] [emoji12]
Afadhali aiseee. [emoji23] [emoji23]
Oooh. Na mida ya vyombo bado eeee. [emoji12]Si mpaka nipige vyombo bana Hajar😎😎😎
Nijaalie hali yako kwanza kwa muhtasar, hujambo weye?
Muda bado kidogo tu mamii, karibu Hajar😎😎😀Oooh. Na mida ya vyombo bado eeee. [emoji12]
Namshukuru Allah uzima upo Sesten. Sijui weye?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Si mpaka nipige vyombo bana Hajar😎😎😎
Nijaalie hali yako kwanza kwa muhtasar, hujambo weye?
😀😀😀[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaaa. Akaaaaaa. Hata sitaki hiyo kitu mie.Muda bado kidogo tu mamii, karibu Hajar😎😎😀
Hali yangu kama yako bibie, kama we uko poa na mie itakua hivyo hivyo😛😛😛
Wala usidanganyike ukakurubia vyombo Hajar, walinaoutumia wanatamani watoke lakini inakua sio rahisi kihivyoHahaaa. Akaaaaaa. Hata sitaki hiyo kitu mie.
Sawa Tuzidi kumshukuru Allah kwa kutupa afya njema.
Hahaaa. Usijali Sesten uzuri sina hata Chembe ya kukaribia hiyo kitu.Wala usidanganyike ukakurubia vyombo Hajar, walinaoutumia wanatamani watoke lakini inakua sio rahisi kihivyo
Halafu hufanyi hata juhudi ya kunichomoa kwenye hilo janga😳?Hahaaa. Usijali Sesten uzuri sina hata Chembe ya kukaribia hiyo kitu.
Tunawaachia nyie hivyo vyombo vyenu. [emoji12] [emoji12]
AhahaaaaKulalek
Asante sanaheri ya kuzaliwa kwako mke wa kakaa
Vp dj ulimtosaThnx
Ah ah ahWoyoooo