Happy birthday my Love moneytalk

Happy birthday my Love moneytalk

Nakutakia kila la kheri na baraka tele katika siku yako hii muhimu sana. Miaka kadhaa tarehe kama ya leo Moneytalk ulibisha hodi na ukakaribishwa katika dunia hii yenye kila aina ya rangi. Chagua na ubakie na rangi ya waridi, ambayo wewe na hata Mwifwa mtaifurahia siku zote,

Happy birhday to you
Sesten leo hujataka kuandika kile kidhungu chako eeee. [emoji12] [emoji12]


Afadhali aiseee. [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom